Shambulio la Kharkiv
Maeneo mbalimbali ya Kharkiv yamekuwa yakilengwa mara kwa mara na Urusi kutokana na umuhimu wake wa kimkakati, na mashambulizi haya yanaendelea kuongeza idadi ya vifo na uharibifu wa miundombinu.
mashambulizi yanamna hii yamekuwa yakikemewa kimataifa kwa sababu ya athari zake kwa watu wasio na hatia. Maeneo mbalimbali ya Kharkiv yamekuwa yakilengwa mara kwa mara na Urusi kutokana na umuhimu wake wa kimkakati, na mashambulizi haya yanaendelea kuongeza idadi ya vifo na uharibifu wa miundombinu.
Source-kyiv post
Maoni
Chapisha Maoni